Makapuku Forum

YOELI 2

WITO WA TOBA

12."Lakini hata sasa" nasema mimi Mwenyezi -Mungu ,"Nirudieni kwa moyo wote ,kwa kufunga,kulia na kuomboleza.

13.Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali "Nirudieni kwa moyo wa toba."

Mrudieni Mwenyezi-Mungu ,Mungu wenu;yeye amejaa neema na huruma;hakasiriki upesi,ni mwingi wa fadhili daima yu tayari kuacha kuadhibu.


SHALOM !! NAWATAKIA USIKU MWEMA MBARIKIWE
 
Kule ni safu za Milima ya Usambara yaani Mombo hadi Lushoto--Mlalo
Watu wachache ndo wana private cars sababu ni ya kijiografia ila pia uchumi wa Lushoto upo chini
Angalia vigari vile vidogo kuliko hata Hiace ndo vinatamba kusafirisha watu Mombo hadi mjini japo Coaster zipo pia

Magari ni machache ndiyo maana pamoja na kuwepo na kona kali na barabara nyembamba ni nadra kukutana na ajali
.....
 
Shalom


Shalom


Amina! Asante kwa sala
 
nawe pia mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…