Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Ni kweli. Utafikiri tumerogelezewa mkuu. Binti mweupe mahari yake ni ya kutisha. Mimi nimepanga kuoa chokleti orijino ili kuvunja hii bias.Wasukuma kwa vyeupe utawajua tu
3/Chantal Biya
Ana umri wa miaka 45
Huu ndio usingizi wa "babu" Paul Biya wa Cameroon.....vijana tafuteni pesa !!
Ni maarufu kwa kufanya matanuzi ya kila aina
Anapebdelea zaidi kwenda Paris kuchukua viwalo na makorokoro mengine
.....
Anaelekea Italy au Chinaaelekee tu Stoke City
Achana na sakayo.Second time kuhusu nini labda?
Tatizo liko wapi kwani?
Nini tena shemekiLioneeee
shemela agiza kinywaji chochote bill ije kwangu una akili ujueMbali na nyama kuwa na ladha na ufananano ulio sawa, kuna kunenepa what if nilimuoa akiwa mwembamba then baada ya kitambo akanenepa na kujazia haitokuwa busara kuvunja uhusiano hicho ndicho kimenifanya wote niwape heshima sawa
Nipo hapa Shunie mwanangu
Nimkubali mara ya ngapi...Pole ya nini mpotezee huyo hawezi kuja na mikwara ya kitoto kutaka sifa kwa wana makapuku.
Hajui kwamba uamuzi ni wako Kukataa au kukubali?
Kwani nawe unapenda wembamba?Nimegee na mimi aisee
Hard drinks sanaaaHapo mama mkapa ndio inshu
Nzuri ni ipi, ya Mtae,Mlalo au lushoto yenyewekwenye shambai watamchanganya tu ni kisambaa mwanzo mwisho afike kabisa kwanza
Wakubwa wanafaidi!4/Hinda Deby Into
Ndiye First Lady wa huko Chad
Ana umri wa miaka 37
.....
halaf shemela mbona mitaa yote unaijua nzuri ni ya mlaloNzuri ni ipi, ya Mtae,Mlalo au lushoto yenyewe
AiseeMbali na nyama kuwa na ladha na ufananano ulio sawa, kuna kunenepa what if nilimuoa akiwa mwembamba then baada ya kitambo akanenepa na kujazia haitokuwa busara kuvunja uhusiano hicho ndicho kimenifanya wote niwape heshima sawa
Nimekumbuka nipatie ujumbe wanguKama kawaida
Ng'ombe 40Ni kweli. Utafikiri tumerogelezewa mkuu. Binti mweupe mahari yake ni ya kutisha!