BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ni mrembo,anapendeza at 619/Dominique Folloroux--Ouattara
Ndiye anayechezea garden love za rais wa Ivory Coast Allessane Ouattara
Ana miaka 61...ana asili ya Algeria
Kabla ya Ufirst Lady alikuwa na CEO wa kampuni ya urembo ya Kifaransa
.....
Fungate imeishaNaona umetoa picha ya Shedede. Fungate imeisha au ni mdororo wa mapenzi?
Msalimie Shedede. Siku kadhaa sijamuona hapa. I hope he is OK!
Subiri uje umuone wa KagameNi mrembo
Simjui aiseeHivi mbona unaandika kama mondray...
Nilikwambia SAA ngapi?!Mwenyewe hajui halipoo
Ameona inamzibia rizik
Mdau sijamjudge"Mama Janet ana sura ngumu jamani"...Kulikuwa na ulazima kweli wa hii statement? I respect women a lot na kuwa-judge kwa kuangalia uzuri wao wa nje ni kuwadogosha sana na hata kumdhalilisha Aliyewaumba. They are our mothers, sisters, aunts and colleagues. All our first ladies are beautiful in their own ways and unless kama ni maahindano ya urembo, let us judge them on their integrity na mchango wao kwa jamii.
Huyu ni trace yuko na I'd ingineWallah vile nimekuwa nikikuona humu na kufuatilia namna unavyohendo maisha ya humu JF. Hakika unafaa!
Moyo wangu umekuridhia!
Asante MadameHaha ndio karibu
Hautakiwi kuhisi mrembo.Hahaha
Mie kuna mtu namhisi
Hii picha ya mwisho imepigwa lini?"Huyu mama Janet ana sura ngumu jamani"...Kulikuwa na ulazima kweli wa hii statement? I respect women a lot na kuwa-judge kwa kuangalia uzuri wao wa nje ni kuwadogosha sana na hata kumdhalilisha Aliyewaumba. They are our mothers, sisters, aunts and colleagues. All our first ladies are beautiful in their own ways and unless kama ni mashindano ya urembo, let us judge them on their integrity na mchango wao kwa jamii.
Asante shimba ya buyenze(5) Ni genye au probably ni mental issues?
Madenge. I am done. Tuletee ma-first ladies 10 wenye mvuto Afrika. Nimeweka hizi haraka haraka ili kukupisha. Kama kuna typo nitarudi kurekebisha pole pole. Naanzisha thread ya Falsafa kesho wikiendi...
Anachunga mzigo wakeNaona unawafuatilia kwa ukaribu sana
Mwache ajifurahishe atazima tu fegi zakeHuyu ni trace yuko na I'd ingine
Tutaugawakwa hwezo wake naamini inshaallahAllah atujaalie uzima inshallah tuugawe mwezi
Trace ndiyo nini?Huyu ni trace yuko na I'd ingine
Aisee kisu cha Rais hicho9/Dominique Folloroux--Ouattara
Ndiye anayechezea garden love za rais wa Ivory Coast Allessane Ouattara
Ana miaka 61...ana asili ya Algeria
Kabla ya Ufirst Lady alikuwa na CEO wa kampuni ya urembo ya Kifaransa
.....
Mchochezi huyuAisee dah
Mbona unachonga sana jombaa?Mwache ajifurahishe atazima tu fegi zake