Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
We subiriaUnaona eeh.... Kwa dizaini hii utabebwa sasa hivi.... Ha ha ha ha ha ha ha ha
We subiriaUnaona eeh.... Kwa dizaini hii utabebwa sasa hivi.... Ha ha ha ha ha ha ha ha
Nikuambiee nnNiambie basi shem
Dada yako kabisa, shemela muadhithie tuBasi isome dada yangu ni nzuri me kuhadithia siwezi
Kuniachaje tena Baba DSikuachiii Ng'ooo
AaahBasi isome dada yangu ni nzuri me kuhadithia siwezi
Alfajir mama DHapo sawa isiwe usiku sana basi
Kweli shemela![]()
shemela umeua
NawaooonaaaKumbe Unamkumbuka eeh? Haya langu jicho
Ndio nimejua leoUlikuwa hujuii??
Nahisi kuna mmoja alichapa njeIla sakayo na shunie ni mapacha kabisa
![]()
![]()
Ndiyo hivyo...Shunie!Aisee
Naona umetoa picha ya Shedede. Fungate imeisha au ni mdororo wa mapenzi?Niko poa
Kama mtu hajanyongwa sijuiWe subiria
Acha kumuita shunie mkuu ni shemeji wakoNdiyo hivyo...Shunie!
Mwenye nia nzuri huweka mambo wazi Mkuu!
Mwenyewe hajui halipooNaona umetoa picha ya Shedede. Fungate imeisha au ni mdororo wa mapenzi?
Msalimie Shedede. Siku kadhaa sijamuona hapa. I hope he is OK!
Ila sakayo ni mke wa mtu, mumewe anaitwa TNdiyo hivyo...Shunie!
Mwenye nia nzuri huweka mambo wazi Mkuu!
Acha habari zako, we usinisanifu hapa.Zamani kivipi tena mrembo sakayo?