Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
MmmmhThanks Mkuu shimba ya Buyenze.
Kila kitu ni kupambana Mkuu.
Nimeona nijitokeze hapa hapa kuonesha kuwa nina nia nzuri tu kwa huyu mrembo ambae amekuwa akinisumbua ndotoni kwa muda mrefu.
Pia kujitokeza wazi wazi ni jambo nzuri sana kuliko wale wanaokimbia kwenda PM.

