Jamaa ni mbaya kwa magoli ya vichwa
Haya wale mashabiki wa PELE mtuambie jamaa ana magoli mangapi kwenye kombe la dunia licha ya kushiriki mara 3 sijui 4 !!!
Pele goli zake 1000 kafungia mchangani tena enzi ambazo hakuna hata sheria ya offside
Brazil ndo timu iliyofunga magoli mengi kombe la dunia
......