Wengi wakisikia Kennedy moja kwa moja hujua ni JFK
Ni kweli inachanganya maana wote waliuawa kwa kupigwa risasi katika matukio mawili tofauti na miaka tofauti
RFK aliuawa wakati akigombea urais
JFK aliuawa wakati akiwa Rais
Matukio yote hayo CIA wanahusishwa
.......