Makapuku Forum

Nadhani baada ya karne moja tutakuwa na la kwetu kutoka Zenji hadi Dar..
Matusi hayo mkuu
Wachina wana kawaida kule kwao kuvunja/bomoa baadhi ya madaraja na flyover na hata maghorofa mfano baada ya miaka 100 na kujenga upya kabisa ili tu kuvipa nguvu viwanda vya vifaa vya ujenzi na kutoa ajira pamoja na kuzungusha pesa
Tutasubiri sana
niwatakie USIKU MWEMA
........
 
Haaaa!

Sasa mkuu kama madawati kwetu ni kitendawili ...kwa miaka 50 ya uhuru..

Daraja la Dsm to Zenj litajengwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…