1/
Danyang--Kunshan Grand Bridge
Limejengwa/limekatiza katika njia treni
High speed Railway ya Shangai hadi Beijing huko nchini China
Ni eneo korofi kijiografia
Ndiyo daraja refu zaidi duniani
Lina urefu wa Km 164.8
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......