Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
najua ni kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anajua km ni uongo
najua ni kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anajua km ni uongo
KafanyajeeCc demi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana wee muache afie humu humu huko mbali huoni km tutapata kazi ya kusafirisha mwiliKafiee mbalii mzeeee
Sema kwa niaba yanguuSAS mbona hukusema tukushukuru?!
Weka picha
[emoji15] [emoji87]Bwana dalali wa mademu
Ndio je!Wenzako nn
Uko vizuri sana ww nikikupatanajua ni kweli
Thanks bitozEnd![]()
......
Eti ni kwelii ??[emoji15] [emoji87]
Ohooooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pole sansNdio je!
[emoji15] [emoji87] genye mbayaaa duuuu(4) Ati, utafanya nini pale mchumba wako anapogoma kukupa penzi wakati wewe siyo mtu wa kispoti spoti?![]()
Hauna pesaaUko vizuri sana ww nikikupata
YannHauna pesaa
Mi sina gender nipo nipo tuWe uko gender ip
Ina maana siku zingine huwa tunajadili upuuzi? We nawe vipi?Wakuu leo upuuzi hautokuwepo ...naomba tuifatilie bajeti kwa walio na mda na ikiwezekana baadae tuichambue apa
Wenu kazini mpinga maendeleo fekii
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mwalimu nna jibu 🙂 🙂 🙂
Mimi naona itakulazimu uchepuke ndo maana tunashauriwa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
Good answerHapanaaa mm nasaidia madomo zege
Mkuu mida hii huwa ni mda wa "upuuzi wa lee" nimemanishaa hivoIna maana siku zingine huwa tunajadili upuuzi? We nawe vipi?