Makapuku Forum

2009 - Omar Bongo anafariki Dunia.

Alikuwa ni Rais wa Gabon ambaye amekaa madarakani kwa miaka 25 mpaka kifo chake kinamkuta.

Kwasasa nchi inaongozwa na mwanae.

Si ndo aliyekuwa akijiita Rais wa maisha au ?
Nafikiri huyu jina lake ndo chimbuko la Dar/Tz Kuitwa Bongo[/b]
Maana alikuwa ni kiongozi tapelitapeli


......
 
Alisepa matokeo yalipotoka Marekani mara
 
unajua kila kitu mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…