Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nzuri hujambo we kapukuHabar Za asubuh humu ndani...!!
Nzuri hujambo we kapukuHabar Za asubuh humu ndani...!!
Usiofuu ngoja twaweza mpunguzia shedy majukumu ...jamani watu!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nataka ujitulize kwa Dada.... Uache kushobokea vimada.... Utakuja kuniulia mtu unajua.Mkuu kipenz rafikiii hivi unataka shuny arudii kwenuuu ??
Nipo humuUpo wapiiii
Ila wewe .. ..
Unamjua afande shedede?Kamata fursa huyo huyo
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguLooooooooh
Yaaan wewe ...shunie wangu tu
Miye bukheri wa afya hofu juu yako??Nzuri hujambo we kapuku
Poa tu.... Za kwako?Wee mambo VP?!
MhhhhhhmhhhhhJiongezeee
Ila huyo anapenda wallet sio wa nchii hii
Aliyemuweka ni pedeshee wa makapukuu laki milion si pesa
Ukipanda dau anakuweka avatar moyoni baadae
Mwambie aiseeLee mbona unauza wake za watu? Unaumiza watu ujue
Unaona eeh?Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Ngoja shedede ajeSi wameambizana huku wanapewa ...ngoja wakutane na mabushaa
Bora umwambie ukweliLee mbona unauza wake za watu? Unaumiza watu ujue
Morning Mr. LeeMorning Demi wa obe
Kipenziii nimefanyajeeeNataka ujitulize kwa Dada.... Uache kushobokea vimada.... Utakuja kuniulia mtu unajua.
NamjuaaUnamjua afande shedede?
WatamkomaaaNgoja shedede aje