Makapuku Forum

Khaaass[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Bby thanx sana kwa huo uaminifu ila nirud saa nane halafu wewe nikuache na nani?????????
 
Braza unataka kujifunza Ulozi?
Hapana ndugu yangu unajua huu ndiyo wakati mtaalamu ama ticha kaonekana sasa nataka kutumia nafasi hii kujifunza kitu kupanua ufahamu tu mshana jr amebobea kwenye hizo mambo sana...Yaana akiamua kutuchukulia wake zetu huku wote anawachukua tena hii ni taadhari wife amaizing, shem wangu aggyjay , lizziebettie , Nahrene popote alipo, Patience123 wakae mbali sana na huyu mtu asee..
 
Bby unataka hiyo dawa kwa matumizi gani tena???
Unaniogopesha my[emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…