Makapuku Forum

5/Vyura

Nawazungumzia vyura haswa sio wale wapinzani wa Simba
Chura huweza pia kupumua kwa kutumia ngozi...hii ndo hali pekee inayomwezesha kuwa na jeuri ya kumpa oxygen hivyo kukaa pia bila kula
Pia carbondioxide na maji huweza kupita kwenye ngozi
Ukimuona chura anakufa kipindi cha kiangazi ni mzembe tu !!!
Anaweza kukaa bila kula kwa miezi 16
.....
 
yani mwaka 1 na miezi 4 si mchezo
 
Aisee, nilijua chura atakuwa no 1
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…