Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Kumbeee ??hatutoi kikiiiii umetoka kwenye uzi wa kuponda makapuku umekuja huku
Kumbeee ??hatutoi kikiiiii umetoka kwenye uzi wa kuponda makapuku umekuja huku
makapuku hawajaribiwi!kama kweli nyie ni makapuku hebu weka like kwenye comment hii.
kila atakaye like nitamzawqdia like za kutosha hata akikohoa tu.
ulikua unanipima nini tenaWatuachieee toto letuu
Kwanza ntaanziaa wapi kukuachaaa
Mm nilikuwa nakupima tu
Nakosa nn kwa mfano kwakoo mama
Baby u know ulipo nipooo
Vyemaaa ...Kwakweli namshukuru Allah niko salama kabisaaaa
tantee [emoji8]205 k
Ongeraaaaa [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wengi mnataka ivunjikeee
Kwa taarifa yenu kesho tunaenda honey moon to the moon tena kunogeshaaa
Ila shuny ako ka avatar [emoji19] [emoji19] [emoji19]hahahhah shemela sitaki ujue
[emoji2] [emoji2]Unamtisha sana shemela wangu mpaka anachanganya maandishi
Ulikuwa "upuuzi wa lee"ulikua unanipima nini tena
asante shemelaHongera kwa 205K
Asante Bitoz kwa picha![]()
![]()
![]()
.
.
.
.
.
Ngoja niendelee kuchunga mbuzi
Tukutane baadaye
Niwatakie siku njema
.......
Nadanganyaa ??[emoji39] [emoji39]
hahahahWarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa alikuwa anataka maua tu, mikwala mingi kumbe maua
asante mama mchuchu wa mukongoMarahaba za uzima mpendwa wangu ubarikiwe
kwema sana za kwakoKwema humu?
si ni kweli mama mchuchu [emoji85]Hahahaha
tumosaKifaa cha ukweli hicho
[emoji120] [emoji120] shemela najuaga upo upande wangu sanaTunaiombea heri na baraka na yenye maisha marefu