Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
mke mwee nimecheka sanademi bora ujiendee kwa mzee wa kungoa mambo ya maugomvi ktk ukoo hatujazoea kabisa
mke mwee nimecheka sanademi bora ujiendee kwa mzee wa kungoa mambo ya maugomvi ktk ukoo hatujazoea kabisa
kweli upo leo mpka saa hii sababu ya mukongoKaribu dear nipo hapa hapa
3 YOHANA 1
2.Mpenzi wangu ,nakutakia mafanikio mema ya kila aina;nakutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni.
SIKU NJEMA MUNGU AWABARIKI SANA![]()
NAWAPENDA SANA
![]()
![]()
tunakupenda pia mama yetu
KaribuuVita na makapuku haojawahi kumuacha mtu salama, hauwezi kupingana nao au kupambana nao, chaguo moja tu? Kuungana nao.
naongea na lee we kaongee na sakayoMmmh
Unaongea na mimi ?
Asante kwa upendo mummy![]()
tunakupenda pia mama yetu
ubarikiweasante mama mchuchu wa mukongo

kwakweli nimeamini.makapuku hawajaribiwi!
Kafanyaje tenatumosa
watu wakija mnatoa like wakienda huko wanaponda mm sitoi like hovyoKumbeee ??
kana nini jaman baba d naomba tu nikaacheIla shuny ako ka avatar![]()
![]()
![]()
Ndio najuahahahhah shemela sitaki ujue
Anajipendekezaanaongea na lee we kaongee na sakayo
siutakiiiiUlikuwa "upuuzi wa lee"
hahahhhhNadanganyaa ??