Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Sifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu.. Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama
![]()
AiseeeLakini ina raha yake bwanaChuga moja hiyo, poleni, nilikuwa huko last week kalinipiga sana
Njema karibuduh uzi unatiririka hatari, habari za humu makapuku wenzangu????????????
Kweli kuna raha yakeLakini ina raha yake bwana
Unapata usingizi mtamu balaaaKweli kuna raha yake
demi bora ujiendee kwa mzee wa kungoa mambo ya maugomvi ktk ukoo hatujazoea kabisa
nilitaka kufanya mapinduzi.Sana na kuchoka huchokiUnapata usingizi mtamu balaaa
asante mkuuNjema karibu
MamboUnapata usingizi mtamu balaaa
Mzuriiiduh uzi unatiririka hatari, habari za humu makapuku wenzangu????????????
NzuriiiHabari za siku makapuku
KaribuHodi humu
Asante mkuuKaribu
Upo mamaa?![]()
![]()
![]()
![]()
nilitaka kufanya mapinduzi.