Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
he he hajazaliwagwa huyoSifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu.. Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]