Makapuku Forum

Makapuku Forum

If you didn't know, now you know!! Napitaga sana humu kimya kimya hahahah

Naheshimu sana hizi harakati... MAKAPUKU FORUM

Long live!! One love brothers & sisters... Jah bless
Nilitaka kujua juu ya kifo cha JFK je alikufa baada ya kupigwa risas au kesho yake?Kuna mdau amenifafanulia kuwa aloyekufa kesho yake ni nduguye
 
Hapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...

To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)

Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM

Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..

Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)

Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
 
asante mkuu..
 
Umemjibu vizuri
Ila hajakuuliza vizuri
Nduguye ni RFK ambaye naye alipigwa risasi siku na mwaka tofauti ndiye aliyemlenga na nilimjibu kwamba alikufa kesho yake

Hivyo huyo mdau inaonekana kashindwa kuwatofautisha RFK na JFK maana wote waliuawa kwa kupigwa risasi ila ni matukio mawili tofauti
Ndiyo maana Hakuliamini jibu nililompa

Shukrani mdau
........
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Pamoja sana chief..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom