Kweliii kabisa wasitufanye mapenzi yanatesa et ndo kauli yao ....na nilichoamua , kama tulivyoongea mjomba, sipigi wala sidipu (sibipu!!!) ni mwendo wa kuandika barua tu SLP
Unaikumbukaaaa ???
Tunamshukuru sana Mungu wazimaNimekuja kuchungulia tu,jamani wenye mji hamjambo?
AminaaaaaaaISAYA 40
31."Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya;watapanda juu kwa mbawa kama tai;watapiga mbio wala hawatachoka.
TUOMBE
Baba asante kwa kutufikisha umbali huu,asante kwa wema wako na fadhili zako zisizo na mwisho.
Bariki kazi,ndoa,familia,wasafiri.
Ponya wagonjwa,watie moyo wafiwa ,yatima.
Tutie nguvu ya kukungoja wewe na kukutegemea siku zote za maisha yetu.
Baba tunakupenda,tunakuheshimu,tunakutukuza,kunakushukuru kwa yote tunayoyapitia..upo nasi daima Mfalme wa Amani.
Roho Mtakatifu tawala maisha yetu,tufundishe kusamehe,Upendo na uvumilivu daima
Katika jina la Yesu Kristo mpatanishi na mwokozi wetu..Amen
MUWE NA SIKU NJEMA ,MBARIKIWE
Weraaaaaaaaanimekumbuka kuna mtu aliquote mmu akaniambia shunie kuna mtu anakupenda makapuku ndio nikaja kuuliza
Ya kwako uliulizaa hivo...eki nimesikia kuna kapuku ananipenda yaan wewe unasema hivo ...mukongo akanitajaaa
Mukongo be blessed with Blessedhope
lee ataniweza na ubonge huu
sawa kupeana raha lkn kuna kubebana ataweza nibeba mm
Mwanaume Mwanaume tu atakubeba usihofu
si kwa unene huu atanitupa
Kupenda unakusikia kwenye redio nini?.....ungejua!
ha ha lee come this way
Bhinamu mm niko kwakoooo ....Yaani nyie watu wawili tena ndugu zangu, tangu mwanzo nilijua tu hamuwezi kunisaidia kumpata BH maana mna histohisia na mukongo, anyway nimeridhika na asante.
Na ninamshauri waziri wa mazingira azuie uuzwaji wa maua kwani yanaharibu mazingira ya moyo wangu (ofkozi kama yanaletwa kwangu yatakuwa yakotreated yawe salama kwa afya ya mazingira)
Yaani nyie watu wawili tena ndugu zangu, tangu mwanzo nilijua tu hamuwezi kunisaidia kumpata BH maana mna histohisia na mukongo, anyway nimeridhika na asante.
Na ninamshauri waziri wa mazingira azuie uuzwaji wa maua kwani yanaharibu mazingira ya moyo wangu (ofkozi kama yanaletwa kwangu yatakuwa yakotreated yawe salama kwa afya ya mazingira)
mmhBhinamu mm niko kwakoooo ....
Mm hapo nilikuwa nasoma mchezooonimecheka sana jamaan acha mukongo niwe upande wako tu
Ule msemo kuea Damu nzito kuliko maji hapa umeshindwa kuchukua nafasi
Kotekotee
Pamoja sana!Tuwe na siku njema wanafamilia yetu pendwa na kama kawaida yetu ....
Karibu chiefPamoja sana!