BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
UbarikiweTuwe na wakati mzuri wadau, tutakutana baadaye kidogo, bosi kafika na ananiongalia kwa jicho la husuda
UbarikiweTuwe na wakati mzuri wadau, tutakutana baadaye kidogo, bosi kafika na ananiongalia kwa jicho la husuda
Lee amekusomahapana aisee me siwezi hizo mambo tafuta tu utapata halaf kingine mwanaume hafugiki ni yeye na akili yake kama ataparamia sawa bora aparamie tu huko huoni wewe dini yako itakua inakuruhusu owa tu hao wa 4 wako
Aiseena mpenzi wa kulike kama kawaida yako![]()
Pamoja mkuuView attachment 519979Kwa udhamini mnono wa Chaplin
Nawatakieni wote siku njema
Ah, sina jipya kabisa BH ni yale yale tu ya siku zote, nilitaka tu nikusalimie. Mie na wewe tena

Kesi sasapost ya nani tena
Kuepusha dhahamammh acha nikae kimya
Karibuu baba mwenye mbuzi ...Mchunga mbuzi sasa naingia kujinafasi + kufunga magoli km CR7 kupitia assist anazotoa Dikteta kwenye historia
.
.
.
Ahsante Lee kwa fact zilizotukuka
.
.
.
Ahsante kaka ake Lulu kwa magazeti
Spika Ndugai kazi imemshinda
...........
Pressure![]()
mbona sikumbuki jamaan
HahahahaYaani nyie watu wawili tena ndugu zangu, tangu mwanzo nilijua tu hamuwezi kunisaidia kumpata BH maana mna histohisia na mukongo, anyway nimeridhika na asante.
Na ninamshauri waziri wa mazingira azuie uuzwaji wa maua kwani yanaharibu mazingira ya moyo wangu (ofkozi kama yanaletwa kwangu yatakuwa yakotreated yawe salama kwa afya ya mazingira)
Asante sana kwa kujaliAh, sina jipya kabisa BH ni yale yale tu ya siku zote, nilitaka tu nikusalimie. Mie na wewe tena
Kweli kabisaaaPenzi Huzungusha Dunia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Leo Katika Historia:
Daraja la Southwark lazinduliwa rasmi huko Uingereza na Mfalme George wa 5 na mkewe Malkia Mary.
Jamani!!Mapenzi bwanaa...
Yanazaliwaa hayatengenezwiiii...
Huoni ya obe na mama mchuchu mwaka wote utafikir anachukua phd kwake