Makapuku Forum

1967 - Vita ya Siku Sita yaanza baada ya Israel kuishambulia Misri kwa kuishtukiza.

Ni miongoni mwa vita 10 fupi zaidi duniani
Ilijulikana kama 6 Day War ..Israel ilishinda vita na hivyo kujinyakulia Ukanda wa Gaza na Sinai Peninsula kutoka kwa Missri
Pia ikajinyakulia East Jerusalem kutoka kwa Jordan na Golan Heights kutoka kwa Syria
.....
 

Kifo chake kina mkono wa CIA kama ilivyotangulia kwa kakaye
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…