mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Poa sana tuKipenzi rafiki jpili hope iko poaa
Poa sana tuKipenzi rafiki jpili hope iko poaa
asante mkuu, nawe piaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie Jumapili njema.
Sijui kwa upande wako!?Kipenzi rafiki jpili hope iko poaa
Hii kiboko aiseeUF....
Mkuu mndali ahadi ni deni ...huwa naiona avatar yako ngoja tuanze nayo ...![]()
Samtaimu ni mwiko kuichukulia serious Siku Ya Wajinga unaweza kupoteza fursa bure
Sisi kukopesha tu wanafunzi wa vyuo tumeshindwa
HBD Modibo1915 - Modibo Keita anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Mali.
HBD Joseph1971 - Joseph Kabila anazaliwa.
Ni Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya watu wa Congo.
Kweli mkuu ....Hii kiboko aisee
Samtaimu ni mwiko kuichukulia serious Siku Ya Wajinga unaweza kupoteza fursa bure
......
HBD Emmanuel1983 - Emmanuel Eboue anazaliwa.
Beki wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Samtaimu viongozi wa dini ni wapuuzi
HBD Lucas1985 - Lucas Poldoski anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Fc Koln, Bayern Munich, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alitwaa kombe la dunia la mwaka 2014
Sisi huwa wasindikizajii kwa kila kitu ...Sisi kukopesha tu wanafunzi wa vyuo tumeshindwa
Elimu bure ya msingi na sekondari pia ipo kigeresha tu
Ni aibu
.....
Asante kwa leo katika historia musoliniLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie Jumapili njema.
Kwema kabisa, vip pande hizopamoja sana, kwema lakini
Rawlings aliiweka Ghana kwenye mstari, na sasa ni mkulima tu hana muda na siasa1979 - Luteni Jerry Rawlings anachukua madaraka ya Kuiongoza Ghana mara baada ya kupinduliwa kwa Jenerali Fred Akuffo katika Mapinduzi ya Kijeshi.
salama kabisaKwema kabisa, vip pande hizo
Leo Katika Historia:
1928 - Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Zhang Zuolin anauliwa na majasusi wa China.
Aisee, huwa inaleta shida sanaKweli mkuu ....
Nakumbuka mwaka 2003 tareh moja april tunapigiwa simu kuwa anko kafariki wote tukapuuzia na ilileta mtafaruko wa familia ilichukua mda kusolve hiyo kitu ...make wengi walidhania hatutaki kushiriki msiba
Wajinga sana aiseeSamtaimu viongozi wa dini ni wapuuzi
Waache kumafananisha Musa na Sizonje
Shit !!
......