Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
Boooooooooo!Hakuna cha Ronaldo hapa
aisee unajua lakini andunje hajawahi kugusa nyavu zake huyoMagoli ata kipa wa keko anadaka
mapenzi haya yalikuwa mwaka 46-Hakuna kulalaa
Wee angaliaa mpira ila noo kushangiliaa Madrid
aenda chelsea aiseeIla isco huyuuuuu
vamoooos madridHala madrid
Hala madrid
Hala madrid [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
oyeeeeeeeeMadrid oyeeeeeeeeeeee
Ila roho inaumaa
full timeTuwe na usikuu mwemaa
goal scoring machine
nitadhaminiMkuu hiyo avatar unaijua chanzo chake au maana yake ??
Kama unajuaa [emoji122] [emoji122]
Ila kama hujui tukutane mapema kesho kwenye UF uongezee maarifa
asante nawe pia maa[emoji524] ZABURI 127
1.BWANA asipoijenga nyumba Wajengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]