Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli mkuu ....

Nakumbuka mwaka 2003 tareh moja april tunapigiwa simu kuwa anko kafariki wote tukapuuzia na ilileta mtafaruko wa familia ilichukua mda kusolve hiyo kitu ...make wengi walidhania hatutaki kushiriki msiba
Wengi tu yametukuta masahibu ya Fools Day
Siku hizi sipuuzii taarifa natafiti kwanza
......
 
DID YOU KNOW ?
315254abc6cbd72149e035b248796048.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom