shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pamoja sana mkuu musoliniShukrani Mkuu!!
Pamoja sana mkuu musoliniShukrani Mkuu!!
Aisee1939 - Meli ya MS St. Louis iliyokuwa imebeba wayahudi takribani 900 inakataliwa kuingia jimboni Florida nchini Marekani hivyo inageuza kurudi Ulaya ambapo Wayahudi 200 kati ya hao 900 wanaenda kuuwawa katika magerezaya mateso ya NAZI.
Hii kiboko mkuu. Ingekuja kwetu huku kila siku watu wangekuwa wanafeli ili wasimalize shule.
Asante kiongoziiPamoja mkuu!!
Hapa njema za hapo kinyerez twoMorning shemeji, habari za hapo mbeya
habari gani bro.Kumekucha salama bandugu ...
Wakuu kwa udhamin mnono wa Archduke soon tuone UF
pamoja sana, kwema lakiniView attachment 518878Sina la ziada kutoka magazetini
Tukutane tena kesho
Nawatakieni jumapili njema
Asante kwa historia jumapili njemaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie Jumapili njema.