sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,422
Kweli sio habari nzuri..... Nimeruhusu utupe nyavu kwingineko......
Teh teh teh😀😀😀😀😀😀
Ndio maana nilikuwa nakonda tu all these days, kumbe msiba ulikuwa jirani
Kweli sio habari nzuri..... Nimeruhusu utupe nyavu kwingineko......
Hapo huwa unanitoa kavu! Mi chichemi nachuchuma kuchumba mhu nichemee hapa hapa nichemee pembeni???? chipm bana!!!!!!!

Tatizo hukujiamni tokea mwanzo. Sasa mi nikaona kuliko kumpa nafasi mtu asiejiamini ni bora kubaki singo tuTeh teh teh😀😀😀😀😀😀
Ndio maana nilikuwa nakonda tu all these days, kumbe msiba ulikuwa jirani

Ahadi ni deniSafi kabisa, sijui wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Imeshakamilika mbona???Ahadi ni deni
Safi kabisa, sijui wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Sasa mbona hatajwiImeshakamilika mbona???
Sasa mbona hatajwi
Hajambo kabisa. Upo kwenye msiba wa papa wemba au?
Pole sana. Nipe direction nije huko
Njoo mpaka Kinshasa, nitamtuma Totoo Kaludji aje kukupokea
lol!Sasa nimeelewa kitu hapaBraza ukiona manyoya ujue kachinjwa....naungana na youngblood kwenye maombolezo😳
Wee mbaba umetoka Kinshasa mda gani mpaka ukawa Madrid?Natokea Madrid weyeeh? Nipo, mishe zinanipoteza japo huwa nachungulia
Sasa nimeelewa kitu hapa
Alikwambia utupue ndoano kwingine. Ndo maana ukatupia kuleKitu kipi mkuu, isije ukawa umeelewa tofauti