MreportHuwezi amini hadi muda huu still anaendelea tu kuni PM...kuna watu wapo kuharibia wengine stimu tu!
Mkuu, nakushauri usijibu chochote kwa anachokuandikia, atachoka mwenyewe ataacha.Huwezi amini hadi muda huu still anaendelea tu kuni PM...kuna watu wapo kuharibia wengine stimu tu!
Mkuu, nakushauri usijibu chochote kwa anachokuandikia, atachoka mwenyewe ataacha.
Ile kazi uliyonitumia kwa email nitaiangalia baadae nikiwa home then kesho ntakupa mrejesho. Samahani kwa kuchelewa kujibu kaka.

Mie niko mzima, ila nilihofia ulivyokuwa kimya nikahisi utakuwa umetumbuliwa na zile pesa za urithi.Safi kabisa, sijui wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Ahaa... Kumbe ndo ilikuwa hivyo, basi sawa. Endelea kutupa updates ya kinachoendelea huko Msibani.Jimena kasema nitamke jina lake (Himena), ndio nikamuuliza anatokea Madrid
Na kwako pia shemejiNimemaliza kutoa likes
Uck mwema wapendwa..
Chama gani tena hicho?Mkuu youngblood....naomba usajiri wa chama cheti kile, jimena katema cheche mzee
Huyu kijana naona kichwa kinapata moto.Chama gani tena hicho?
Hapo sasa tuko pamoja kaka angu wa ukweli