nimecheka sanaaaPole sana. Nipe direction nije huko
Njoo mpaka Kinshasa, nitamtuma Totoo Kaludji aje kukupokea
Jimena kasema nitamke jina lake (Himena), ndio nikamuuliza anatokea MadridWee mbaba umetoka Kinshasa mda gani mpaka ukawa Madrid?
Sasa basi na wewe usinifanyie hivyoYamekuwa hayo
Hahahahah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimecheka sanaaa
Acha kujitafutia matatizo kijana.Mkuu youngblood....naomba usajiri wa chama cheti kile, jimena katema cheche mzee
Never![]()
Never lose hope.
NimeachaSasa basi na wewe usinifanyie hivyo

Asili ya jina ni huko........ Kwa waspaniolaJimena kasema nitamke jina lake (Himena), ndio nikamuuliza anatokea Madrid
Hapo sasa tuko pamoja kaka angu wa ukweliNimeacha![]()
R.I.P kamanda![]()
![]()
![]()
![]()
R.I.P
.........
Pamoja sana XimenaHapo sasa tuko pamoja kaka angu wa ukweli
Acha kujitafutia matatizo kijana.
Watu wa 'dizaini' hii huwa ni wa kukalia kimya tu.Mimi mbona mtu wa amani sana mkuu, dizain kama watu wa Jamaica... Pepere kaanza huyu mwana kwa kuquote sms ambayo kimsingi haikumhusu nilivyomjibu tu kakimbilia PM ni sms hadi kero sasa...andachoandika hata haeleweki ndo namwambia sipendi namna hii afanye mambo mengine!
Huwezi amini hadi muda huu still anaendelea tu kuni PM...kuna watu wapo kuharibia wengine stimu tu!Watu wa 'dizaini' hii huwa ni wa kukalia kimya tu.
Kwani Jimena imekuwaje?Nimeyakubali maneno yako mkuu