shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Najua shemelakweli kabisa shemela nampenda sana mama mchuchu na ipo siku nitamuomba nionane nae
Najua shemelakweli kabisa shemela nampenda sana mama mchuchu na ipo siku nitamuomba nionane nae
Binamu kama unajua mm nakuhurumia mbona ww kila siku unanikwaza tuLol! Acha zako, anayenihurumiaga ni Shunie tu, sio wewe. Unajua kabisa mambo yangu yakikaa sawa hutakuwa na kisingizio cha kwenda kwa kina cheusi mangala.
Kwani anko, si unajua mimi na maflowers mbalimbali! Labda kama nikiumwa ila hata ikitokea hivyo wanaonijua wanajua cha kuleta kwa mgonjwa Mimi, fanta na wali ndondo of course na kuku wa kukaangwa.
Jana ulirudi saa ngapi?
SanaFor a Juventus
Bonge la bao
ukitoka wewe hakuna yeyote wa kuingiaShunie aunt yako sijui kala maharage ya wapi sio kwamba anajamba ushuzi mzito la juma ....make na mm leo mwendo wa kugongewa like ntafanyajee siwez jua nilipotoka jana aliingia nani ilo jibu akupe wewe ....
Bhinamu jana tulivoachana jana wakati namsindikiza dem nikakumbuka haswa kuwa nimesahau simu uliponioelekea kwa mhudumu kunichajiaa ...ikabidi turud ndo tukakuta dj kachaweka mabangii yake anachekecha cd sio mchezo ikabidi turuke mbili na mrembo demi ila sio zero distance. ..anyway mengi ya kusimulia safar yetu ila kaamuka anauchovu nkamnunulia supuuu ...
Wewe unatuangushaa kila upandee upooni kweli lakini tusikate tamaa
huyo rafiki yako ujue ni mchocheziNimemuanzaa mm kipenz
Mechi nzuri sana hii aiseeWooooooroooooooh aluaaalaaa ....mwaraaaaabuuu huyuu kaniuuuaaa sio kwa kushangilia uku...dstv ebu ukihisi goli kapuku mwenzagu weka chan 2 kwa language
yaan binamu nikiyaona ma flowers roho inaniuma nazidi kukuonea huruma binamu yangu natamani ungekua unapewa wwNa wewe ukiyaona ma flowers yaani acha tu maumivu ya moyo hayapozwi kwa ganzi
MmhNtajuajeee wakati nagongewaa likes tu na uzur nililala kwa bhinamu
HatariiiiiiiiFor a Juventus
Bonge la bao
Real 1 : 1 Juve
Ronaldo 20'
Manduzkic 27'
.....
na mimi pia napenda lakini sio mtoto sijui inakuaje hapoWa kuzaliwa.... Maana Watoto wanapenda sana ndondo.
Nilikuwa namuona ananipa likes tu...mfano anasifiaa magazet wakat ilianza UF![]()
![]()
![]()

Tena murua bila chengaWenye AzamTv game lipo KTN Live kabisa
........