mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Kiafrika mke kumuamkia mume ndo heshima.Sitakiii
Kiafrika mke kumuamkia mume ndo heshima.Sitakiii
Na kwa demi uliyakoroga jana
Mbona waguna Rafiki kipenz... Kwani huna taarifa ya huo ugeniMmmmmh
Baba mchuchu

Wacha uchochezi T wa Shululu![]()
![]()
inauma eeeh
Binamu yangu obe masikini![]()
Shunie aunt yako sijui kala maharage ya wapi sio kwamba anajamba ushuzi mzito la juma ....make na mm leo mwendo wa kugongewa like ntafanyajee siwez jua nilipotoka jana aliingia nani ilo jibu akupe wewe ....Lol! Acha zako, anayenihurumiaga ni Shunie tu, sio wewe. Unajua kabisa mambo yangu yakikaa sawa hutakuwa na kisingizio cha kwenda kwa kina cheusi mangala.
Kwani anko, si unajua mimi na maflowers mbalimbali! Labda kama nikiumwa ila hata ikitokea hivyo wanaonijua wanajua cha kuleta kwa mgonjwa Mimi, fanta na wali ndondo of course na kuku wa kukaangwa.
Jana ulirudi saa ngapi?
Nimemuanzaa mm kipenzKiafrika mke kumuamkia mume ndo heshima.
mama mchuchu ujue unavyomfanyia binamu yetu sio vizuri
Wali ndondo....... Una Umri gani Obe?Lol! Acha zako, anayenihurumiaga ni Shunie tu, sio wewe. Unajua kabisa mambo yangu yakikaa sawa hutakuwa na kisingizio cha kwenda kwa kina cheusi mangala.
Kwani anko, si unajua mimi na maflowers mbalimbali! Labda kama nikiumwa ila hata ikitokea hivyo wanaonijua wanajua cha kuleta kwa mgonjwa Mimi, fanta na wali ndondo of course na kuku wa kukaangwa.
Jana ulirudi saa ngapi?
Bhinamu kwani mm na wewe tuna ubaya wowote ...na imeandikwa kizur kula na bhinamu ,anko wako
Ntajuajeee wakati nagongewaa likes tu na uzur nililala kwa bhinamuMbona waguna Rafiki kipenz... Kwani huna taarifa ya huo ugeni
Na mm sikumuelewaaUnanionea huruma au unaniita jina langu kamili Obe Masikini Jorowe
Inaumaa kweliiiNa wewe ukiyaona ma flowers yaani acha tu maumivu ya moyo hayapozwi kwa ganzi
Wali ndondo....... Una Umri gani Obe?
Wa kuzaliwa.... Maana Watoto wanapenda sana ndondo.Umri wa kuzaliwa au kula ndondo