Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
yani maji ya shingoPole jaman mbona bado sana jikaze
yani maji ya shingoPole jaman mbona bado sana jikaze
Si walee wanaa wanaokutangazia kwamba wewe mmbeakuumia na nini tena
Kipenzi rafiki usinificheeUmeniambia mambo mengine nijifanye kama siyaoni... Kwa hio ngoja niminye kwa maslahi ya "umma".
Kweli kabisaaa
Week end imepoa au wote mmenda porini kusikiliza mahojiano kule kwa Ngedere
![]()
![]()
![]()
.....

Sitakiiishikamoo baby wangu
Bhinamu hana chakeeWoiiiiiii![]()
ila mama mchuchu una makusudi sana
Binamu yangu obe masikini![]()
Asante mkuuWakuu niwataki mchana mwema weekend njema
MmmmmhUwiiiii mke mwee na lege alivyo na sifa akianza ameanza sijui nitazisoma usiku au kesho yaan nipo busy leo nina wageni
Nina moyo mjueePoa mke mweee endlea kupetipeti wageni hao
AhaaaahaaaSi walee wanaa wanaokutangazia kwamba wewe mmbea
Mjomba tumefikia hatua hii? Ngoja nijipange nirudi maana machapati ya maji bado yako mwilini
Bhinamu kipenz mm nimekasirika sana unakumbuka jana tulivyojitahd kwa mama mchuchu kumbe yeye maflower kayatunza ....umeona replay alivomuona limukongo ??Mjomba tumefikia hatua hii? Ngoja nijipange nirudi maana machapati ya maji bado yako mwilini
Mchochezi huyoNina moyo mjuee
Mwachee tuMchochezi huyo
Bhinamu kipenz mm nimekasirika sana unakumbuka jana tulivyojitahd kwa mama mchuchu kumbe yeye maflower kayatunza ....umeona replay alivomuona limukongo ??
Na kwa demi uliyakoroga jana