Makapuku Forum

Makapuku Forum

Barca anapopambana na Real au kugombea kombe moja ndo nakuwa upande wa Real

Mfano alipokutana na Bayern nilishabikia Bayern

....
Mimi ni Real Madrid, ila leo naombea juve ashinde kwa heshima ya Buffon ili astaafu na heshima iliyotukuka
 
Mimi ni mkubwa na ninapenda sana wali ndondo.

Ila kwa kauli yako unataka kusema Jakaya Kikwete ambaye anapenda sana mahaba (ukoko wa juu baada ya wali kupaliwa) na maharage bado ni mtoto? Au hukuwahi kusikiza mahojiano yake
Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom