Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
me mzima ndugusijambo mimi snipes wewe je
swaum kali si mchezo ishaanza kunikamata
me mzima ndugusijambo mimi snipes wewe je
Aisee yaaniNimekuja aisee mama mchuchu meno yote njena leo atashinda humu humu kapuku
Nawe pia MndaliWakuu niwataki mchana mwema weekend njema
Pamoja shemejNawe pia Mndali
Nimeshapoa snipes asante jibu basi au mpaka mfungo uchanganyemfungo tunauendeleza vizuri tu, unataka kuja kufuturu nini
pole na msiba
Uwiiiii mke mwee na lege alivyo na sifa akianza ameanza sijui nitazisoma usiku au kesho yaan nipo busy leo nina wageniKimbia Ibra nae asha weka ati ushindwe ww tu
Pole jaman mbona bado sana jikazeme mzima ndugu
swaum kali si mchezo ishaanza kunikamata
na kwako pia kakaWakuu niwataki mchana mwema weekend njema
leo shemela anashinda humu mama angu sababu ya mukongoAisee yaani
Nipo poa mke mwee usiniambie season 4 ameshaiweka ngoja niwahi
Poa mke mweee endlea kupetipeti wageni haoUwiiiii mke mwee na lege alivyo na sifa akianza ameanza sijui nitazisoma usiku au kesho yaan nipo busy leo nina wageni
Ni Uswaz kwetu bhana![]()
huyo ndio queen monica mambo ya msukuma hayo
Aisee, mimi nilifikiri ni....![]()
huyo ndio queen monica mambo ya msukuma hayo
Mwanao anakupenda sana, asipokuona haijisikii raha, lengo akutanie tu na nafsi yake ifurahi
uchumi hauruhusuNimeshapoa snipes asante jibu basi au mpaka mfungo uchanganye