Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Jamani penye ukweli tuseme bhanaaa...alafu kesi ipi kipenziAngalia kesi ya kwanza haijaisha usianzishe nyengine Rafiki kipenz.

Na mm nilikuwa na demi na obe bhinamuSi anatupia akiwa na wewe
mbona hata mimi nakupenda, kwanza naanzaje kukukataa eti??
macho yangu koma wee

Oooooouuuuk ...Hamna bos wkend
poleni sana team ukawaWakuu za leo, nilikuwa safarini thats y leo nimeadimika humu.
Wale wa timu Juve tujuane mapema
Forza Juve
View attachment 518746
Inakuwaje Wahispaniola watutawale kila siku..
Leo Madrid wanisamehe
Nitafurahi kombe likienda Italia
......
wa pili wewe ukiongezea dikteta 3
Shunie hayupombona hata mimi nakupenda, kwanza naanzaje kukukataa eti??
macho yangu koma wee
Utd na Yanga ndo timu zangu za kudumu![]()
![]()
![]()
wa pili wewe ukiongezea dikteta 3
kaenda wapi??Shunie hayupo
Ata mimi mkuu ni simba na chelsea mabingwa forever ila leo uhispania kama point yako imekuwa too muchUtd na Yanga ndo timu zangu za kudumu
Naishabikiaga Real kwavile siwapendi Barca
Pindi Real akikutana na Atletico nashabikiaga Atletico
Hivyo leo nipo Juve tele
....
Aliona na mengine kabla ya UF.... Itakuwa yamemkera.... Na yeye ana moyo Rafiki.Nilikuwa namuona ananipa likes tu...mfano anasifiaa magazet wakat ilianza UF![]()
![]()
![]()
MamboNzuri
Barca anapopambana na Real au kugombea kombe moja ndo nakuwa upande wa RealAta mimi mkuu ni simba na chelsea mabingwa forever ila leo uhispania kama point yako imekuwa too much
Maelezo mazuri...Twende sawa mkuu ...
Ukiachia ubora wa Juventus kuanzia eneo la kiungo kurudi nyuma, Bado juve wamekuwa na makosa ya kuruhusu mpira udunde katika eneo lao kabla ya kuondoa......... Bonucci na Chielin ni wazuri sana katika making lakini pia uwezo wao wa kucheza high balls ni mzuri hii ni kutokana na heights waliyonayo.
Pamoja na ubora wa Bonucci na Chielin katika making, Bado watapata ugumu kutokana na Christian Ronaldo na Karimu Benzema wanapenda zaidi kucheza wakitokea pembeni. Ila ugumu hautokuwa kwa Chielin na Bonucci pekee bali hata kwa Ronaldo na Benzema kutokana na aina yao ya uchezaji kupenda kucheza wakitokea pembeni, hii itatoa nafasi kwa beki Juventus kujiandaa na kujipanga vizuri....
Gonzalo Higuan na Paolo Dybala, hawa ni watu wa kuchunga sana kwa beki za Real Madrid..... Aina ya uchezaji wao na kusuasua kwa siku za hivi karibuni, ukiachana na captain Ramos kuwa kayika ubora katika eneo la ulinzi la Madrid, basi shaka kubwa inakuja juu atakayepangwa nae katika mchezo huu eidha Varane, Nacho au Pepe. Pair yeyote inaweza kuanza ila shaka ni namna Madrid alivyoshindwa kutoka Bila nyavu zake kutikiswa katika michezo yake mingi hususani hii ya UEFA champions league.
Miralen Pjanic na Semi Khedira watakuwa wakishindana kwa takwimu tu mwisho mwa mchezo wao na kina Toni Kroos na Luca Mondric........ eneo hili linaweza kuwa bize zaidi katika kujilinda kwa timu zote na kusababisha eneo la ushambuliaji kushuka chini kutafuta mipira.
Dani Alves, Dani Carvajal, Alex Sandro na Marcelo...... Huku pembeni ndipo mpira wote wa fainal utakapokuwa unacheka, ubora wa timu zote hizi mbili upo pembeni kwa mabeki wao wa pembeni ambao wamekuwa ndio mhimili wa kutengeneza nafasi za magoli na matokeo kwa ujumla.
Upande anao cheza Marcelo na Ronaldo ndio upande wenye hatari zaidi kutokana na kasi ya Marcelo na movement za Ronaldo, lakini pia Benzema naye amekuwa akitumia sana upande huo katika zile movement zao za zig zag yeye na Ronaldo...... Juventus wasipokuwa na hesababu makini na upande huu basi huu upande ndio wenye kombe la Madrid katika mchezo huu.
Upande wa Kulia anapocheza Dani Alves na Juan Cuadrado ndio upande wenye hatari zaidi kuliko pande zote za Juventus turin......speed na foot work nzuri ya Juan Cuadrado inaweza kuwa sumu kwa safu ya ulinzi ya Madrid, kwa siku za karibuni combination yake na Dani Alves imeonekana kuwa ndio combination bora na hatari zaidi kwa Juventus.... Real Madrid wanapaswa kuwa makini na upande huu kama wanalitaka kombe na historia mpya.
Marcelo vs Dani Alves ndio Battle inayosubiriwa kwa hamu kubwa pale Cardiff Wales Leo..... Alafu tumalizie na maximilano Allegri dhide ya Zinedine Zidane.
Historia ya UEFA champions league ndio inayoanza kumhukumu kwanza Real Madrid, kabla Juventus hawajaweza kumhukumu.... Na real Madrid wanaanza kupambana na historia na Juventus kwa wakati mmoja....
Yote heri ila tutegemee fainali nzuri sana ...
Mmi juve ananyanyua kwapa ....na hapa mzee wetu yule(Buffon) anahitaji hili kombe kuliko juve wenyewe
Unatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha kwamba: Demi akiwa na kimini halafu kabugia kilaji cha kutosha alikaaje ndani far? mosi ...pili kutokana mkao aliokaa wewe ulibaki salama?Jamani penye ukweli tuseme bhanaaa...alafu kesi ipi kipenzi
Safi tuMambo
Shunie...leo shemela anashinda humu mama angu sababu ya mukongo
Kea heshima ya Buffon, Juve inabidi wabebe japo sio kazi rahisi.Twende sawa mkuu ...