Makapuku Forum


FACT:
Simba ya Pawassa na Matola illikuwa timu bora na kunyanyasa Afrika lkn Yanga tukafunga midomo

Simba ya Okwi na Mafisango ilikuwa balaa na kutupiga bao 5 ...Yanga tukaugulia tu maumivu

Yanga ya Ngoma ,Bossou na Kamusoko ni timu bora Afrika Mashariki kwa sasa cha ajabu Mkia wanajifanya hawajui hill
Kazi majungu tu
....................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…