Thanks sana kila kitu kiko undercontrolNaamini hawataweza kukufanya mbaya maana mwenyewe mziki mnene, pole pia kwa safari yako.
Tumekumiss sana braza Mshana Jr.
Endelea kujipa moyo, maisha utayashinda braza.Nahrene ipo siku atarudi tu.
Mwanaume unatakiwa kujikaza si kulialia.
Ni hakika na kweli braza. Uwahi kurudi.Thanks sana kila kitu kiko undercontrol
Sitafuti tena mkuu,asiporudi basi.Akae akijua Nahrene ndo ashaolewa hivyo, hakuna namna zaidi ya kutafuta mke mwingine.
nilikuwa mbali kdogo nawajibika ndo mana nkakosa hata muda wa kuingia humu.. Uko bomba lakini?Cool tu mkuu, umepotea sana ulitumbuliwa nini#
Mkuu usisahau zawadi.Thanks sana kila kitu kiko undercontrol
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila usijali nitakuachia siku moja ukauzie sura.
Demu wangu by Mchizi Mox ft Mangweawe unachunwa huku mimi nagaiwa bure
ona sasa unavyolia lia kumtafuta Nahrene nlishakwambia kile ni kina kirefu hukiwezi wewe young tuachie sisi maBro zako
Jiandae kutafuta mke mwingine.Sitafuti tena mkuu,asiporudi basi.
Inambidi afanye hivyo maana hakuna namna nyingine.Mpaka awe na ubavu wa kutafuta mke mwingine sasa
youngblood hajui kuwa Nahrene nmemchora tatoo yangu kwenye paja lakeDemu wangu by Mchizi Mox ft Mangwea
Nikiletaga mnakataaMkuu usisahau zawadi.
Mungu mwema mambo yanasonganilikuwa mbali kdogo nawajibika ndo mana nkakosa hata muda wa kuingia humu.. Uko bomba lakini?
Ndo manakeInambidi afanye hivyo maana hakuna namna nyingine.
Kumbe Nahrene hakuwa wa youngblood tangu mwanzo, kwahiyo aliiba?ona sasa unavyolia lia kumtafuta Nahrene nlishakwambia kile ni kina kirefu hukiwezi wewe young tuachie sisi maBro zako
Hata kama amemchora nani anamiliki kwa sasa!