Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Aminia sana kiongizi wangu.. kwa pa1 tunasongesha. ForumMungu mwema mambo yanasonga
Aminia sana kiongizi wangu.. kwa pa1 tunasongesha. ForumMungu mwema mambo yanasonga
Inabidi watuambie, nyie jonax na youngblood mkuje huku kutupea majibu.Hata kama amemchora nani anamiliki kwa sasa!
Mbona mwanzoni ulishindwa!!ona sasa unavyolia lia kumtafuta Nahrene nlishakwambia kile ni kina kirefu hukiwezi wewe young tuachie sisi maBro zako
Inaelekea jonax aliwinda lakini youngblood ndo mlaji wa mawindoKumbe Nahrene hakuwa wa youngblood tangu mwanzo, kwahiyo aliiba?
Nafikiria kumuachia jonax naona analialia tu.Jiandae kutafuta mke mwingine.
Kuchora kutu gani!,unaweza ukachora alafu usione ndani!!youngblood hajui kuwa Nahrene nmemchora tatoo yangu kwenye paja lake
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Wewe lete tu.Nikiletaga mnakataa
Kijana anajipa moyo!Kumbe Nahrene hakuwa wa youngblood tangu mwanzo, kwahiyo aliiba?
Huyu bwana mdogo anajifariji.Hata kama amemchora nani anamiliki kwa sasa!
Na kwako pia Comimchana mwemeni nyote
Inaelekea jonax aliwinda lakini youngblood ndo mlaji wa mawindo
mchungaji ulijuaje??
Hata kama akiona imebaki historiaKuchora kutu gani!,unaweza ukachora alafu usione ndani!!
![]()
![]()
![]()
BxvdjjabvsjidjxvcTuma kwa tigo pesa
ni Tanganyika na Zimbabwe mkuuSio Tanganyika na Zambia?
Hahahaaa...Kuchora kutu gani!,unaweza ukachora alafu usione ndani!!
![]()
![]()
![]()
Uzuri ni kwamba wote wanagema kisela, hivyo ngoma droo.Inaelekea jonax aliwinda lakini youngblood ndo mlaji wa mawindo
Na kwako pia Mkuu.mchana mwemeni nyote