Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Bonjour werrason![]()
....mkuu upo uhamiaji nini???
![]()
![]()
Bonjour werrason![]()
....mkuu upo uhamiaji nini???
![]()
![]()
hahaha nimekusoma. Watumishi wa umma au watumwa wa ummaI mean wale wa kupimiwa pesa kwa mwezi/waajiriwa..kifungo cha hiari mkuu
tunamshukuru mungu huku ni wazima. sijui kwako mkuu?njema, Mussolin5 pande hizo wazima?
nzuri sana boss.Habari Gani Wakuu .?
Hata private sector mkuu..wengine hatujali saa, siku wala tarehehahaha nimekusoma. Watumishi wa umma au watumwa wa umma
kweli asee...Hata private sector mkuu..wengine hatujali saa, siku wala tarehe
Na asile hata kile kidogo kabisa.yah asifanya kazi sharti asing'ate.
commen ca va?Bonjour werrason
salama mkuu, huku kwetu mvua inapiga sana asubuhi...pengine ni baraka za sir God.Wakuu habarin za asubuhi...Ni jmatatu ingine watu tumeamka na uchovu mwingi sana kutokana na harakati za weekend...Nachungulia dirishan Mvua inanyesha mno....Huko ulipo hali ya hewa ikoje?
Niko salama kabisa braza, vipi upande wako!?Mkuu mzima?
Niko salama kabisa braza, vipi upande wako!?
Ili kesho afanye kazi au ili afe(joke)Na asile hata kile kidogo kabisa.
Niko poa kakaNiko salama kabisa braza, vipi upande wako!?
Kaka hunitendei haki, huonekani kabsaaWakuu habarin za asubuhi...Ni jmatatu ingine watu tumeamka na uchovu mwingi sana kutokana na harakati za weekend...Nachungulia dirishan Mvua inanyesha mno....Huko ulipo hali ya hewa ikoje?
Naona hali ya huku ni jua sana japo kuna mawingu yametanda sana.Wakuu habarin za asubuhi...Ni jmatatu ingine watu tumeamka na uchovu mwingi sana kutokana na harakati za weekend...Nachungulia dirishan Mvua inanyesha mno....Huko ulipo hali ya hewa ikoje?
Nini tatizo?jamani