eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kiukweli yanga wanabebwa kupitiliza hii sio justice kabisa offside lakini refa anakubali goal hapana jamani huu mpira sio
hahaha hiyo lugja ni kichomi.Inatoa jasho, uandishi na utamkaji!!!....
Tanganyika na Zimbabwe kama alivyosema mh MulugoMuungano wa nn?
Sema uongeaji wake unanoga! Sawa na Nyolahahaha hiyo lugja ni kichomi.
basi ndio hivyo.![]()
![]()
![]()
![]()
nilikuwa sijui
Safi, tunasongesha kwa kupiga kazi kama kawaida.kwema mkuu, mambo niaje?
hahaha...Sema uongeaji wake unanoga! Sawa na Nyola
Sawaaabasi ndio hivyo.
ni kwi kwi duuuuuuuuuuuuuTanganyika na Zambia![]()
Hee...!!??Kama vipi Jpm afute na mapumziko ya jmosi
Jana kila mtu alikuwa na nanii wake sehemu, ilikuwa 'patashika' nguo kucha...a.jana mapema mmekimbia wote.
Thanks babyI love u too
Shem, mambo?nipo nakuchabo Tu nijue naibiwa au la
ukishabikia sana mpira wa bongo utazeeka mapema kwa stress,me nilishaghaili kitambo 2.Kiukweli yanga wanabebwa kupitiliza hii sio justice kabisa offside lakini refa anakubali goal hapana jamani huu mpira sio
Hahahaa...Muungano tar 12,
Leta hela nikupeJaman pleasee post ya 20000 niachieni
Haya Shem me ntaendelea kukupenda UPENDO WA agapeBora niendelee kuwa maskini shem, na si vinginevyo.