Makapuku Forum

Mkuu obe habari yako


naamini leo umewaona wakuu humu Jukwaani, hizi ndo moja ya tabia zao, kutojua ni mahali gani wanaweza kuleta matusi na dhihaka zao, yaani hawaridhiki na kuwa kwenye majukwaa ambayo wameanza kutukanana halafu wanakuja humu na kuendeleza matusi (sio kwamba sisi hatutukanani, la. Kwa sababu hatutukanani)

Oh, hivi ninajibu salam yako au naeleza kuwa neno mkuu halinifai mimi. Yote kwa yote, ni vizuri kukuona humu
 
Mbona unaeleza kwa kwa uchungu sana mzee wa saa mpya
 
Halafu leo ndo nimeiangalia vizuri, asante kwa simu. Lakini, mbona ulininunulia simu haina chaja?
Natanguliza samahan

Kiukweli hiyo simu sio mpya kabisa ...nilikutana na teja maeneo ya aggrey kariakoo akasema pesa ya njaa ndo nkakumbuka kipenzi bhinamu hana simu ...kwa kukupenda zaidi nkaitafutia kava ya kufunika na kufunua pamoja na skiriinii protektaa
 


Seee, nilijua tu, maana hata kava lake sio jipya.

saa nyingine huwa nikiwa napiga moja moja huwa najiuliza kama wewe ni mjombangu kweli au nilisingiziwa. Lakini ukweli ulifanya jambo zuri sana, simu haina shida kabisa.

Njoo hapa tulipokuwa siku ile nina bia zako tatu, leo kuna wacheza shoo mahiri kabisa na wameamua kupima imani za waliofunga hapa bar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…