shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD Aguero1988 - Sergio Kun Aguero anazaliwa.
Straika wa Man city na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mastraika hatari wa kizazi hiki.
HBD Aguero1988 - Sergio Kun Aguero anazaliwa.
Straika wa Man city na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mastraika hatari wa kizazi hiki.
Maisha hayapo fair wakati mwingine!!Aisee duh, anakula maisha tu bibi wa watu
Muongo hihihiiiiiiiiiiiii(kicheko cha mzee majuto)Hahaaaa!
Mimi nimestaafu kutongoza siku hizi..
Nimeshaoa mimi
2012 - Rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak anahukumiwa kifungo cha Maisha Jela.
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Na wewe Mtanzania na mambo ya Waganda wapi na wapiHili gazeti la dini na mambo ya Ivan wapi na wapi?!

Ila habari nimeisoma ktk gazeti la kitanzania!Na wewe Mtanzania na mambo ya Waganda wapi na wapi
![]()
![]()
.......
1965 - Mapacha Mark Waugh na Steve Waugh wanazaliwa.
Ni wachezaji wa mchezo wa Cricket.
1972 - Wentworth Miller maarufu kama Michael Scofield anazaliwa.
Msanii wa movie kutoka nchini Marekani.
Wameandika kwavile nyie ndo wateja waoIla habari nimeisoma ktk gazeti la kitanzania!
Ndio, mimi ni msomaji wao ndo maana nikaona tofauti maana sio kawaida yao! Pia nimepitia magazeti karibia yoteWameandika kwavile nyie ndo wateja wao
Mfano kulikuwa na magazeti mengine yenye habari za maana lakini umechagua hilo
![]()
![]()
![]()
......
1988 - Sergio Kun Aguero anazaliwa.
Straika wa Man city na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya mastraika hatari wa kizazi hiki.
Ila watu wafupi wana stamina sana. Mwingine ni Dybala wa Juve. Argentina siku zote ina wachezaji wazuri na mastaa wa kutosha lakini haifanyi vema kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.![]()
![]()
Nafikiri Kun ni nickname tu
Waargentina wengi ni wafupi
Maradona,Mess I,Tevez,Rojo n.k
......
1989 - Freddy Adu anazaliwa.
Mwanasoka wa Kimarekani mwenye asili ya Ghana.
Alitajwa kama mmoja kati ya wachezaji chipukizi hatari ambao wangekuja kutikisa Dunia ya soka. Lakini alishindwa kutimiza malengo yake.
Sasa nakupiga sound wewe!Muongo hihihiiiiiiiiiiiii(kicheko cha mzee majuto)
Yes..Umemuoa Sakayo?
Asante bennito.Leo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Nimetia nyama kidogo kwenye Nukuu ya leo.. pitia nukuu hapo juu mkuu.![]()
![]()
Alitamba kwenye Prison break
Ni shoga
......


Haifanyi vizuri kwa siku za karibuni, na ukiiangalia Argentina kwa sasa wana kikosi bora kabisa, lakini wameshindwa kujitendea haki wao wenyeweIla watu wafupi wana stamina sana. Mwingine ni Dybala wa Juve. Argentina siku zote ina wachezaji wazuri na mastaa wa kutosha lakini haifanyi vema kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.