Makapuku Forum

Makapuku Forum

Phnom Pehn, Cambodia

wanawake nao wanaweza hapa ni familia ikiongozwa na dereva mwanamama, ilikuwa mnamo tarehe 13/04/2006
 

Attachments

  • BBpcLdn.jpg
    BBpcLdn.jpg
    96.7 KB · Views: 29
LONI INDIA
BBpcRrz.jpg


Abiria wakining'inia milangoni mwa Treni na wengine wakiwa juu yake hii ilikuwa 02/12/2013
 
SHENYANG, CHINA
BBpccUt.jpg


Gari ndogo ikiwa imebeba majani kwa ajili ya utengenezaji wa karatarasi ilikuwa tarehe 11/01/2008
 
ZHUJI, CHINA
BBoAzQ0.jpg

Pikipiki ya miguu mitatu ikiwa imebeba vifungashio vya mizigo
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom