Makapuku Forum

Makapuku Forum

wakuu mambo vipi...?mimi ni kijana najishughuliasha na mambo ya real estates tuna kampuni ya upimajibwa viwanja...tuna miradi mingi sana uko kigamboni na sehemu nyingine nyingi..lengo langu hapa nnatafuta mtu makini san anaeweza kufanya mambo ya marketing hata kama ajasomea koz siamini sana katika shule naamini katika kupata matokeo,nataka tufungue kampuni ya mauzo ya viwanja,viwanja vipo vingi sana nahitaji mtu awe result oriented na awe anajituma sana kutafuta masoko na awe amtu wa kufanya networking..kitakachopaikana ni chetu wote kutegemea na tutakavyo kubaliana..siangalii jinsia wala elimu nataka mtu hardworker..ni pm kana uko tayari.
Mkuu nipe dili Mimi najua sheria za ardhi(Land law) na nyingine kibao
Km upo serious niPM nikuletee na wataalamu wengine
.................
 
Tatizo mikia porojo nyingi hawa
79fe89957f018f3521f7f4baf5e8de0f.jpg
d585049972789f06e9fee7e6cd85a90d.jpg

Yaone...dua mbaya na kulialia tu
Siyapendi
..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom