Makapuku Forum

kalio tena hivi binamu uwe unafkilia vya kuongea ujue na ninajitoa kwenye swala la mama mchuchu uhangaike mwenyewe na mjomba ako mama mchuchu tumwachie mukongo wake
 
kalio tena hivi binamu uwe unafkilia vya kuongea ujue na ninajitoa kwenye swala la mama mchuchu uhangaike mwenyewe na mjomba ako mama mchuchu tumwachie mukongo wake

Oh, usijitoe bhana, umekosea kusoma, sio kumshika kalio, ila anko alishika msimamo na kutoa karipio kali kwanini bartender yule alivaa nguo kama dent
 
Yaan bhinamu wala usiofu ata kama ustaarabu haununuliwii tutaazima bhinamu ..

Mama mchuchu mbona anakupenda na wewe na tokea kitambo upo moyoni mwake japo li jamaaa lile linajidaii tu ...

Yaan kumuonesha tuko siliasi tutaanza kurudi kanisani na zamu hii mpaka kanisa tutapangiwa zamu za kufagiaa

Alafu yule mganga wetu nasikiaa siku hizi watu wanamiminika kweli nyota anazisafishaa
 
Ha ahahhahahaha, tukimaliza kufagia afu tunaomba kujitolea kuhesabu sadaka kama kipindi kile umerudi toka nchi ya kigeni, sadaka zikapungua ulipoanza kuhesabu, walipokuondoa zikaongezeka. Sijui shida ilikuwa wapi, watoa sadaka au mhesabuji
 
kalio tena hivi binamu uwe unafkilia vya kuongea ujue na ninajitoa kwenye swala la mama mchuchu uhangaike mwenyewe na mjomba ako mama mchuchu tumwachie mukongo wake
Bhana tunamsaidiaa bhinam ayo mambo yalikuwa ya zaman kabla sijamaliza posa kwakoo ...na viroba vilikuwa havijakatazwaa...na uzuri + ubaya leo ni tbt ...throw back thursday
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…