Nazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.