Welikamu bakiWakuu habari zenu!? Leo nimeludi lasimi!!
Wanyama lazma wakimbie.Wadau nipo njiani na shemeji zangu tunatokea Mwanza kuelekea Ngorongoro kuangalia wanyamapori bure![]()
.......
Rudi tu mbona hao mashemeji ni ngorongoro pia.najua we waendesha gari,geuka nyuma uone wanyapori wako.najua umewaona tayar.haya rudi home na fisi zako mbiliWanyama lazma wakimbie.
Hii device ingepatikana siku ya mtihani!
Scorpion bar and night club mbagala charambee
Aisee si mchezo