Nyie fukueni makaburi tu. Mengine yana laana na ukiyafukua hutabaki salama. Mfano inasemekana watu wote waliofukua kaburi la huyu dogo hapa chini wote waliangamia mmoja baada ya mwingine. Mpaka leo wanasayansi wanakuna vichwa kujua hasa ni nini kiliwaua. Na kwa nchi yetu hii makaburi yakifukuliwa, sidhani kama kuna atakayesalimika - si wa kule wala wa huku. Uozooooo!!!