Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

by big_in;
Wewe kweli kilaza unasumbulina lack of general knowledge.Unashindwa kusoma hata sentence moja ya english.Bwabwa kama wewe huna elimu utafanya nini tz au uolewe

wewe big_in ndio kilaza mkubwa, hapo kwenye red unamaanisha nn wewe mbulula wa kanga moko!
 
Last edited by a moderator:
Dola yeyote duniani inapokaribia kuanguka hutumia kila aina ya silaha kulinda maslahi yake ikiwa ni pamoja na kuua wanaharakati, kupisha katiba na sheria gandamizi kama tunavyoona leo.

Tuwe wavumilivu kwani anguko kuu linakuja.

that's very true indeed...
 
Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.

Siku zote wanaofanya vurugu ni ccm wakishirikiana na polisi,hiyo mbinu ilishajulikana sana,hufanya hivyo kuudanganya umma kwamba chadema wanafujo,lakini Siku hizi wameshagundulika,acha kusema uongo,mjinga wewe.
 
by big_in;
Wewe kweli kilaza unasumbulina lack of general knowledge.Unashindwa kusoma hata sentence moja ya english.Bwabwa kama wewe huna elimu utafanya nini tz au uolewe

wewe big_in ndio kilaza mkubwa, hapo kwenye red unamaanisha nn wewe mbulula wa kanga moko!

To make a mistake is only an error in judgment,but to adhere to it when it is discovered
 
Last edited by a moderator:
Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.
maandamano ya amani ni Yale ambayo polisi walitaarifiwa pia yakafanyika pasipo vitisho vya uvunjaji wa sheria ,
Ama paspo lmatumizi ya siraha.
CHADEMA hufanyaga hivyo
 
jamani wekeni picha kama zipo make hii nchi inajifia sasa,wameshindwa kudhibiti madereva na mwendokasi ndugu zetu wanakufa ndo wataweza maandamano ya wananchi?
 
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.

Maneno ya mfa maji hayo...Nchi inaviongoz pamoja na sheria, c kila mtu anawexa kutoa amri
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

wanazuia maandamano ya kijinga
 
Nchi inaongozwa kwa utawala wa sheria...kama hamuwezi kufuata utaratibu mtatandikwa kila siku...!
 
Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.

Kwa kuwa mmekosa mvuto na ushawishi kwenye public muendelee hivyohivyo kuwatumia Polisi maana Polisi hao hao hawana watoto wala ndugu watakao faidika na katiba bora tunayoipigania dhidi ya hujma zenu. Na polisi hao hao mtakuja kuwatumia kuomba kura.
 
Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.

CHADEMA siku zote wanafanya maandamano ya AMANI isipokuwa wanaovuruga amani katika maandamano ni POLICCM.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom