Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Wao wamekuja na silaha hizo za kila aina sasa...

Well silaha itakayowateketeza muda siyo mrefu ni hicho wanachotaka kukipitisha kinachosema UWAJIBIKAJI, UWAZI na UADILIFU visiwekwe bayana katika katiba!
 
Mauaji ya Albino hayahalalishi CHADEMA kuvunja sheria za nchi.

kwa akili zako unaona kuna mtu amesema yanahalalisha!!?? nimeonesha na kazi nyingine wapaswayo kufanya polisi. au albino ni resource ya wanasiasa wako?
 
We can't simply let the security of our Nation be jeopardized by the mere hooligans chadema members!. We swear to protect our people at whatever cost of property and blood, enough is enough!
 
ipo siku ccm ipakufa na kutoweka, lakin tanganyika itabaki milele na milele.
 
Uliona wapi chadema kinabeba watu kwenye malori wapi uliona ubwabwa wa maharagwe unapikwa ndio katibu mkuu wenu asikilizwe

Sasa kwanini watanzania wanaichukia CHADEMA na haiwaipi ridhaa ya kuwaongoza?
 
Makene,
Nilidhani sasa hapa ndipo viongozi wetu makao makuu mngelituonyesha kwa vitendo kuwa dhambi kubwa kuliko zote duniani ni uoga. yaani pamoja na ulinzi na kuzingirwa huko na polisi mngetoka mkaanza kuandamana.
Lakini mimi najua hilo hamuwezi kufanya maana hapakuwa na vijana wakutanguliza kama chambo. asanteni, kumbe na nyie wenyewe hapo makao makuu huwa mnaogopa? sasa mbona huwa mnatudanganya sisi kuwa tusiogope? yaani kama mngehutubia umati wa vijana hapo mngesema vijana msiogope, pambaneni na hayo mapoliccm!

wewe mtoa macho ya wanahabari upo...
 
Back
Top Bottom